Monday, December 16, 2019

Njia Panda/ Crossroads

Unajua ground ikiteleza
watu hutafuta mwenye amemwaga maji!
Kumbe ni enemy ameifanya terrain ikuwe slippery!
Ile story King kaka aliwaambia ni truth.
Lakini  conversations za truth ni ngumu kuput through.

Kama wewe uko hapo base level
Hakuna vile unaweza kuwa different na mawazo yako
Thoughts are things ndivo sages hutwambia.
Itakuwaje wanaotuongoza ni mafia halafu sisi ni holy?
Sasa hii kitu tulishaiona kwa umbali!
Lakini tumeogopa for long coz hatuna guts za kuiita bluff!

Kama Martin Luther angenyamaza ,
American blacks hawangekuwa na voting rights.
Ilibidi Mandela apigane na Injustice,
Ndio black Southafricans wapate equal privileges
Mambo Kenya haitakuwa any different tukikaa silent,
Hii ndio reason investments zinaenda Kigali,
Juu hakuna kitu kama corruption hapo!

Hizi ills sasa ziko entrenched kwa system yetu,
Lakini system si mbaya ni watu wamerot kutoka upstairs.
You see hata samaki mbaya huharibika starting from the head.
Hii kuwa optimistic kwamba mambo itabadilika ni illussion!
Ni kama daydream!
Inahitaji wale wachache wako upright kusimama,
Bila kuuliza 'what is there for me'

Swahili shakespeare aliwaambia nyinyi ni forgetful tu sana.
Vice moja huondolewa na ingine,
Injustice ya saa hizi huwa inafutwa na ingine.
Hawa washajua sisi ni kama ngiri,
Hatukumbuki tulichofanyiwa Jana,
Tukilia njaa tunapunguziwa bei ya unga,
Saa hio ni mdosi fulani anatafutiwa tender za kuimport cheap maize.

Sijui solution ni kuunda Kangaroo courts
Zichukue place ya justice system?
Ukifanya vibaya unaadhibiwa hapo hapo!
Labda wakifeel pain wataacha kuruin country.
Nimesema nichanganye lugha labda mtaelewa hivo,
Kwa sababu tuko kwa crossroads.
Na mnajua njia panda vile ilimfanya fisi



No comments:

Post a Comment